Latest News


More

NALINDWA NA MUNGU NA CHRISTOPHER MWAHANGILA

Posted by : Unknown on : Thursday, May 30, 2013 0 comments
Unknown

 Mwimbaji wa kujitegemea Christopher Mwahangila anamshukuru Mungu kwa kumwezesha kurekodi album yake ya pili yenye jina la NALINDWA NA MUNGU
Album hiyo ina nyimbo saba ukiwemo huo uliobeba wimbo wa album Nalinda na Mungu, Usiniache peke yangu, Vumilia, Wewe ni Mungu, Mke mwema,Injili Isonge, na Nataka kyfanana na Yesu
 Picha mbalimbali zikimwonyesha mwimbaji huyo akihudumu katika ibada kanisanai TAG Sinza Dar es salaam

Mwimbaji huyu yuko tayari kwa huduma kwenye ibada, matamasha, semina za neno la Mungu nk.
Mtafute kwa simu no 0756-0688200

BARIKIWA

No comments:

Leave a Reply