Latest News


More

RADNECKA NZOTTA AACHANA NA UKAPERA

Posted by : Unknown on : Friday, May 3, 2013 0 comments
Unknown
Saved under : , ,
Week end iliyopita ilikua ni siku ya furaha sana kwa Radnecka Nzotta baada ya kuachana na ukapera na kufunga pingu za maisha
 Pichani juu ni Bwana harusi Radnecka Nzotta akiwa na bi harusi mara tu baada ya kufunga pingu za maisha
 Pichani juu ni bwana na bi harusi wakiwa na wazazi wa bwana harusi  Bwana na Bi Sabastian Franley Nzotta
 Pichani juu Wazazi wa bwana harusi wakiingia ukumbini

 Wafanyakazi wenzake na baba wa Bwana harusi bwana Sabastian Nzotta wakiwa ukumbini.Pichani ni Kamishna msaidizi wa Idara ya walipa kodi wakubwa Bwana Alfred Mregi akieleza machache kabla ya kutoa zawadi siku hiyo ya harusi
 Kamishan msaidizi wa idara ya walipa kodi wakubwa bwana Alfred Mregi akiongoza wafanyakazi wenzake na baba wa bwana harusi kusakata rhumba mara baada ya kukabidhi zawadi yao
Bi harusi akiwa na marafiki zake (maids) siku hiyo ya harusi

No comments:

Leave a Reply