Latest News


More

MASHAHIDI WAFIA DINI

Posted by : Unknown on : Friday, December 27, 2013 0 comments
Unknown
Mfia dini ni mtu mtetezi wa kile anachokiamini
Ni mtu ambaye yuko tayari kutetea hata ikibidi kufa kwa aajili ya kile anachokiamini.Akihubiri katika ibada ya pili ya sikukuu ya Kristmas katika kanisa la K.K.K.T Usharika wa Mwenge Parish worker wa usharika huo Suzan Mwimbe alisema watu wengi huwa wako tayari hata kudhurika ili mradi tu anatetea kile anachokiamini

Katika bibilia wako pia watu waliofia dini zao bila ya woga
Mfano Matendo 7: 54-60 inaeleza habari ya Stefano ambaye kifo chake kilikua kwa kupigwa kwa mawe mpaka akafa akitetea imani yake
Piaa ,athayo 14:12 inaeleza habari ya Yohana mbatizaji aliyechinjwa kwa kukatwa kichwa chake sababu tu ya kukemea maovu na dhambi

No comments:

Leave a Reply