Latest News


More

DAYOSISI YA MASHARIKI NA PWANI YA KANISA LA .K.K.K.T YACHAGUA WAZEE WA KANISA

Posted by : Unknown on : Wednesday, August 27, 2014 0 comments
Unknown
 Jumapili iliyopita Dayosisi ya Mashariki na Pwani ya kanisa la K.K.K.T walifanya uchaguzi wa kuchagua wazee wa kanisa kwenye sharika na mitaa yao yote
Katika Usharika wa Mwenge kama sharika nyingine nao walifanya uchaguzi huo kwa kuwatambulisha wale wote waliopendekezwa kwenye mitaa yao
Pichani chini ni baadhi ya washarika waliopendekezwa na ambao walipigiwa kura jumapili iliyopita









No comments:

Leave a Reply