Sadaka hiyo ya shukurani walitoa kwenye ibada zote mbili kwenye Usharika wa Ebenezer kanisa kuu la K.K.K.T Shinyanga ibada ambayo iliongozwa na baba Askofu wa Dayosisi hiyo, askofu Makala
Katika mkanda wao huo waliouzindua wenye jina la "YAMETIMIA" una jumla ya nyimbo kumi ambazo ni;
1.Mavazi ya leo
2.Yametimia
3.Mwachie Yesu
4.Wenye Ukoma
5.Mungu akuinue
6.Neno la Mungu
7.Haleluya
8.Usiogope kusemwa
9.Yesu Bwana
10.Uhai wako
Washarika wakifuatilia uimbaji wa kwaya ya Vijana katika ibada hiyo ya shukurani
Juu na chini ni sehemu ya washat\rika wa Usharika wa Ebenezer - Shinyanga
No comments: