Familia ya Natai leo imeomboleza na kuaga mwili wa dada yao Eunice Elias Natai aliyefariki mwishoni mwa wiki iliyopita
Marehemu alipatwa na mauti hiyo katika hospitali ya Massana Mbezi Beach alikokua amelazwa kwa muda mrefu.Ibada ya kuaga mwili wa marehemu imefanyika leo katika Usharika wa K.K.K.T Mwenge na kuongozwa na mwinjilisti wa Usharika wa Msewe ambako marehemu alikua anasali hadi mauti ilipomfika
Marehemu alizaliwa tarehe 15/11/1967 na kufariki tarehe 01/09/2013, na ameacha mtoto mmoja wa kiume.Mwili wa marehemu umesafirishwa leo mchana kuelekea Moshi sehemu za Lukani, Bomang'ombe kwa mazishi
Waombolezaji wakiwa kwenye ibada hiyo
Mwinjilisti wa Usharika wa Msewe akihubiri katika ibada hiyo.Marehemu alikua msharika wa Msewe
Msemaji wa familia akisoma wasifu wa marehemu
Mtoto wa marehemu akilia kwa uchungu kwenye ibada hiyo.Pembeni yake ni Mzee Godlisten Lema akimfariji
Wana familia wakiandaa mwili wa marehemu tayari kwa kutoa heshima zao za mwisho
Baadhi ya ndugu na marafiki wakitoa heshima zao za mwisho
Ndugu wa marehemu wakilia kwa uchungu kwenye ibada hiyo
Mtoto wa marehemu akitoa heshima za mwisho kwa marehemu mama yake
Dada wa marehemu akilia kwa uchungu wakati akitoa heshima za mwisho
Mwili wa marehemu ukiingizwa kwenye gari tayari kwa safari yake ya mwisho ya maziko huko Moshi
Mwinjilisti wa Usharika wa Msewe akitoa neno la mwisho kwa ndugu na marafiki wanaosafiri kuelekea Moshi kwa mazishi

Bwana Mushi mwanachama wa WANAWAMA akitoa rambirambi zake kwenye ibada hiyo.
Mtoto wa marehemu akilia kwa uchungu kwenye ibada hiyo.Pembeni yake ni Mzee Godlisten Lema akimfariji
Wana familia wakiandaa mwili wa marehemu tayari kwa kutoa heshima zao za mwisho
Baadhi ya ndugu na marafiki wakitoa heshima zao za mwisho
Ndugu wa marehemu wakilia kwa uchungu kwenye ibada hiyo
Mtoto wa marehemu akitoa heshima za mwisho kwa marehemu mama yake
Dada wa marehemu akilia kwa uchungu wakati akitoa heshima za mwisho
Mwili wa marehemu ukiingizwa kwenye gari tayari kwa safari yake ya mwisho ya maziko huko Moshi
Mwinjilisti wa Usharika wa Msewe akitoa neno la mwisho kwa ndugu na marafiki wanaosafiri kuelekea Moshi kwa mazishi
"MWENYEZI MUNGU AILAZE MAHALI PEMA PEPONI .AMEN"
No comments: