Masomo yalioongoza ibada hiyo ni;
Zaburi ya wiki - Zab: 37:1-8
Neno la waraka - 1 Yoh:2:15-17
Neno la siku - Mathayo: 6:24-25
Washarika wakiwa ibadani siku hiyo.Aliyesimama mbele mwenye nguo nyekundu ni Parish Worker wa Usharika wa Mwenge Suzan Mwimbi
Waimbaji wa sifa wakiimba kwenye ibada hiyo ya jumapili jana
Katibu wa baraza la wazee wa Usharika wa Mwenge Mzee Kombe (aliyesimama mbele) akiwa kwenye ibada hiyo
No comments: