Latest News


More

MIFUPA INAYOKUPA NGUVU YA AJABU

Posted by : Unknown on : Thursday, March 13, 2014 0 comments
Unknown
Saved under :


Je, umewahi tamani nguvu za kimwili za kishujaa? Basi wahandisi nchini Italia wamebuni mifupa ambayo inaweza kumpa mtu nguvu hizo.

Mifupa hiyo ambayo ni ya kuvaliwa hufuata vitendo vya mtu na inaweza kubebe kitu chenye uzito wa kilogramu 50 kwa kila mkono wa chuma.

Kulingana na mfumo uliotumika, mikono hiyo inaweza kukarabatiwa ili kufanya kazi zingine kama za viwandani ama katika shughuli za dharura za uokoaji..

No comments:

Leave a Reply