Rais mheshimiwa Dr Jakaya Mrisho Kikwete jana alikutana na uongozi wa juu wa Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es salaam na kufanya nao mazungumzo kuhusiana na chuo kikuu hicho
Pichani juu ni Rasi Kikwete akiwa na viongozi hao, walioongozwa na mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (K.K.K.T) Askofu Dr Alex Malasusa (mwenye kola nyeupe) pamoja na mkurugenzi mkuu wa NHC ambaye ni mwenyekiti wa harambee ya Ujenzi wa chuo hicho ambacho kinamilikiwa na kanisa hilo
Ujumbe wa kanisa ukiwa ikulu na mazungumzo na mkuu wa nchi mheshimiwa Dr Jakaya Mrisho Kikwete jana ikulu
(Picha kwa hisani ya Michuzi.blog)
Columnists
Afya Yako
- All post (163)
- Habari za Kidini (361)
- Kutoka Madhabahuni (193)
- Mahubiri (119)
- Maombi (11)
- Ndoa (88)
- Neno la leo (632)
No comments: