
Baadhi ya misada iliyotolea na wafanyakzi wa Mamlaka ya Mapato

mama mlezi mama Mbilinyi akiwa na watoto Maria na Consolata pamoja na kijana Kajuni

mama mlezi mama Mbilinyi akiwa na watoto Maria na Consolata

Mama Masawe (ambae ndiye mwandaji w safari hii) akiwapa badhi ya misada iliyotolewa kama michango toka kwa wafanyakazi wa Mapato Idara ya walipa kodi wakubw Dar

Hii ni nyumba iliyojengwa na Hospitali ya ikonda kwa ajili ya watoto Maria na Consolata.Nyumba hii imewekwa umeme wa solar, televisheni na Fridge,Big up Consolat aHospital

Hii ndio baiskeli wanaotumia Maria na Consolata.Baiskeli hii kwa sasa ni ndogo na haiwatoshi tena kwani ilinunuliwa miaka takribani mitano iliyopita.Kwa sasa hivi wanaitaji baiskeli kubwa zaidi.Watanzania wenye mapenzi mema mnakaribishwa kuwasaidia ili waweze kupata baiskeli kubwa zaidi.Mwaweza wasiliana na mwana blog hii kwa no hii 0757-11 1343 au
kichila_ts@yahoo.co.uk au mama mlezi mama Betina Mbilinyi kwa no 0763-492108
No comments: