
Mwana blog hii naye alipata nafasi ya kutoa mkono

Bwana Mwakifulefule nae alipata nafasi ya kuwapa mkono

Wafanyakazi wa mamalaka ya mapato wakiwapa mkono watoto Maria na Consolata.Pichani Mama Masawe akiwapa mkono na kulia kwake ni Bwana Zawadi na waliosimama ni meneja wa TRA Makete akiwa na meneja wa TRA Njombe
No comments: