Kwaya ya Usharika wa Kijitonyama ( pichani juu) wameibuka washindi wa kwanza katika mashindano ya uimbaji kwa kwaya kuu (Reformation) katika kituo cha Kunduchi
Kwaya ya Usharika wa Kijitonyama (pichani juu) imeibuka mshindi wa kwanza baada ya kujinyakulia point 84.3
Washindi wengine ni kama ifuatavyo na alama walizopata
Washindi wengine ni kama ifuatavyo na alama walizopata
Mwalimu Lwiza wa kwaya ya Usharika wa Kinondoni akiongoza kwaya yake jukwaani
Mshindi wa nne ni kwaya ya Usharika wa Ubungo pichani juu waliopata point 81.0
Mshindi wa tano ni kwaya ya Usharika wa Kunduchi pichani juu waliopata alama 79.6
Mshindi wa tano ni kwaya ya Usharika wa Kunduchi pichani juu waliopata alama 79.6
Mmojawapo wa majaji wa mashindano hayo (chief judge) ndugu Silayo akizungumzia uimbaji kwa ujumla kabla ya kutangazwa kwa matokeo ya uimbaji
Mmojawapo wa waratibu wa mashindano hayo Ndugu Gilbert Mushi akizungumza kabla ya kutangazwa kwa matokeo hayo
Mmojawapo wa waratibu wa mashindano hayo Ndugu Gilbert Mushi akizungumza kabla ya kutangazwa kwa matokeo hayo
Kwaya hizi tano ndizo zitawakilisha kituo hiki kwenye mashindano ya kumtafuta mshindi wa jimbo siku ya jumamosi katika Usharika wa Mbezi Beach wakishindana na washindi wa kituo cha Mwenge
No comments: