Latest News


More

LIJUE KANISA LENYE IDADI KUBWA YA WAUMINI DUNIANI

Posted by : Unknown on : Sunday, April 27, 2014 0 comments
Unknown
 Kanisa la Yoiddo Full Gospel Church (YFGC) la nchini Korea Kusini ndilo lenye idadi kubwa ya waumini kwa sasa duniani
Hadi kufikia mwaka 2007 Kanisa hilo lilikua na jumla ya waumini au washarika 1,000,000 ambao husali katika ibada saba zinazofanyika kwa jumapili moja kanisani hapo

Mchungaji David Yogg Cho pichani juu alianzisha kanisa hilo la Kipentecoste miaka takriban 57 iliyopita wakati huo yeye akiwa na miaka 22 akiwa na mchungaji mwenzake Choi Ja Sil
Katika ibada moja inachukua washarika 21,000 na kila ibada huwa na mchungaji wake, na kwaya yake na hutafsiriwa kwa lugha 16 tofauti ili kuwasaidia wageni wanaoenda katia nchi hiyo ya Korea Kusini

No comments:

Leave a Reply