Wazee wa kanisa nao wakipata chakula cha mchana kanisani hapo
Mgeni rasmi mchungaji Fupe akiwa na mchungaji Sigala wakipata chakula cha mchana kanisani hapo
Baada ya ibada waumuni waliandaliwa chakula cha pamoja ambapo walikula hapo hapo kanisani .Hakika ilikua ni ibada ya kipekee kwani waumini walikula na kunywa soda na maji mpaka wakasaza Baada ya ibada waumuni waliandaliwa chakula cha pamoja ambapo walikula hapo hapo kanisani .Hakika ilikua ni ibada ya kipekee kwani waumini walikula na kunywa soda na maji mpaka wakasaza
Mzee Lema akiwa na mkewe katika picha ya pamoja na wachungaji
Mama Lema akitoa neno la shukrwani kwa niaba ya mume wake
Mzee Lema akiwa na mkewe katika picha ya pamoja na wachungaji
Mtunza hazina wa kanisa aliyestaafu mzee Lema akishikwa mkono na mgeni rasmi kwa utumishi wake uliotukuka
Mgeni rasmi akitoa neno la shukrwani kwa wazee waliostaafu
Wazee wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi wakiwa wameshika vyeti vyao walivyotunukiwa
Wazee wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi wakiwa wameshika vyeti vyao walivyotunukiwa
Mzee Kombe akitoa neno lashukrani kwa niaba ya wazee wenzake wastaafu
Mzee Kawa naye akipokea zawadi yake
Mzee Kawa naye akipokea zawadi yake
Mzee Ole Severe naye akipokea zawadi yake toka kwa mgeni rasmi mchungaji Fupe
Wazee wakipokea zawadi toka kwa mgeni rasmi mchungaji Fupe
Mchungaji Fupe akiwapa zawadi wazee waliostaafu.Pichani ni mzee mama Chonjo akipokea zawadi yake
Wazee waliostaafu wakishikana mikono kupeana hongera kwa kazi nzuri walioifanya kwa kipindi chote cha huduma
Wazee waliostaafu wakishikana mikono kupeana hongera kwa kazi nzuri walioifanya kwa kipindi chote cha huduma
Wazee wa kanisa waliotumika kwa vipindi viwili wakiwa katika picha ya pamoja na wachungaji.Wazee hawa walikua wanaagwa rasmi na kutunukiwa vyeti na zawadi kwa utumishi wao mzuri
Mchungaji Fupe akiwa na mchungaji wa Usharika mchungaji Sigala
Mchungaji Fupe akiwa na mchungaji wa Usharika mchungaji Sigala
Msaidizi wa Askofu (mchungaji Fupe) akiongoza ibada kanisani Mwenge
Waumini wakiwa katika ibada wakifuatilia kwa karibu mahubiri
Waumini wakiwa katika ibada wakifuatilia kwa karibu mahubiri
Pichani wapiga matarumbeta toka usharika wa Mbezi wakijiandaa kuingia ibadani
Ibada ya mwaka mpya 2011 ilifanyika katika kanisa la K.K.K.T Usharika wa Mwenge na kuhudhuriwa na msaidizi wa askofu wa dayosisi ya mashariki na pwani mchungaji George Fupe na kuongozwa na mchungaji wa usharika mchungaji Sigala.Pamoja na mambo mengine ibada hiyo ilikua ya kumshukuru Mungu kwa kuweza kuingia katika kanisa jipya(kama linavyoonekana pichani juu), na pia kuaga wazee wa kanisa waliokua wanastaafu