HGGHG
somo kuu lilikua ni "NINYI NI NURU YA ULIMWENGU (Mathayo: 4:14a)
Kongamano hilo lilifanyika katika ukumbi wa UDOM Dodoma na kuhudhuriwa na vijana wakristo takriban mia nne na hamsini.
Masomo yaliyofundishwa ni pamoja na;
1.Mahusiano, urafiki, uchumba hadi ndoa - Mwalimu Edward Kavishe na
2.Kijana na Uchumi na mchakato wa katiba mpya ya Tanzania - Mwalimu Godlisten Moshi
Konghamano hilo lilifunguiliwa na mchungaji kiongozi wa Usharika wa Mbezi Beach na mkuu wa jimbo hilo mchungaji Anta Muro
Kongamano hilo lilifungwa na Mchungaji Dodlisten Nkya wa Usharika wa Ubungo (K.K.K.T)
Vijana toka Usharika wa Mwenge wakiwa kwenye kongamano hilo
Vijana wakifurahia discussion wakati wakongamano hilo
Vijana wakiwa kwenye kongamano hilo
Baadhi ya wakufunzi wakiwa kwenye kongamano hilo la vijana
No comments: