Mwinjilisti Sawe akihubiri katika ibada ya jumapili hii katika Usharika wa K.K.K.T (Mwenge) alisema Mungu hapendi mtu mwenye kiburi ndio maana neno la Mungu linasema Mungu huwapinga wenye kiburi lakini huwapa wanyenyekevu neema
Mwinjilisti Sawe ni mwinjilisti wa kujitegemea naye ni msharika wa Tabata jijini Dar es salaam
Mwalimu Kayese akiongoza kwaya ya vijana katika ibada hiyo
Waumini mbalimbali wakiwa kwenye ibada hiyo ya jumapili
Mama Mangole (ambaye ni mzee wa kanisa) akisoma matangazo katika ibada hiyo
Mwimbaji wa kwaya ya vijana akiongoza nyimbo za sifa katika ibada hiyo
Baadhi ya waimbaji wakiimba nyimbo za sifa
Washarika wakiimba nyimbo za kuabudu katika ibada hiyo
Columnists
Afya Yako
- All post (163)
- Habari za Kidini (361)
- Kutoka Madhabahuni (193)
- Mahubiri (119)
- Maombi (11)
- Ndoa (88)
- Neno la leo (632)
No comments: