Fridah Sawaya jumapili hii alimtolea Mungu shukrwani katika Usharika wa Mwenge kwa mambo mengi ambayo Mungu amemtendea.Dada Fridah (pichani juu wa kwanza kulia) ambaye ni msharika wa Mwenge alimshukuru Mungu kwa kumwezesha kumaliza masomo yake ya degree ya kwanza na pia kumponya bibi yake ambaye alikua mgonjwa kwa muda mrefu
Dada Fridaha alisindikizwa na marafiki zake kutoa sadaka hiyo ya shukrwani
Pichani dada Fridah na marafiki zake waliomsindikiza akiwa madhabahuni
Mwinjilisti Mwigune wa Usharika wa Mwenge akimpa mkono dada Fridah baada ya kufanya nao maombi
No comments: