Polisi nchini Urusi wamemzuilia daktari mmoja mpasuaji kwa
madai ya kuiba kifuko kilichokuwa na dawa ya kulevya ya Heroin kutoka tumboni
mwa mgonjwa.
Maafisa wa utawala wanadai kuwa daktari huyo alikuwa mlevi walipomkamata. Huenda akafungwa jela kwa miaka 15 ikiwa atapatikana na hatia ya wizi wa dawa za kulevya.
No comments: