Jumapili hii ya leo ni sikukuu ya watoto (Mikael na watoto) katika makanisa yoto ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (K.K.K.T)
Katika Usharika wa Mwenge ilimefanyika ibada nzuri ambayo iliongozwa na watoto wa Shule ya jumapili (Sunday School)
Katika Ibada hiyo iliongozwa na kichwa kinachosema “Waacheni watoto wadogo waje kwangu”
Pichani juu waimbaji wa kwaya ya shule ya jumapili wakiimba kwenye ibada hiyo
Wanakwaya ya kwaya ya watoto wakiwa kwenye ibada hiyo
Viongozi walioratibu ibada hiyo wakiwa mbele ya madhabahu
Watoto wa shule ya jumapili wakisema mistari ya moyo toka kwenye bibilia
Waumini wakifurahia jinsi watoto walivyoweza kusema mistari ya moyo kwa ustadi mkubwa
Mchungaji kiongozi wa Usharika wa Mwenge (Mchungaji Kaanasia Msangi) mstari wa mbele akifurahia ustadi wa watoto wa kusema mistari ya moyo
Katibu wa Usharika (mwenye tai) mzee Kombe akifurahia ustadi wa watoto wa kusema mistari ya moyo
Mtoto Ivin somi akisoma matangazo
Mama Beatrice Lema akiongoza neno la Mungu katika ibada hiyo ya watoto
Watoto wa shule ya jumapili wakiongoza washarika kutoka ibadani
No comments: