Latest News


More

IBADA YA WATOTO JUMAPILI HII USHARIKA WA MWENGE

Posted by : Unknown on : Sunday, November 17, 2013 0 comments
Unknown

Ibada ya watoto wa Sunday School imefanyika jumapili hii katika usharika wa Mwenge na kuhudhuriwa na watoto wa Usharika huo
Pichani juu ni mwalimu wa shule ya jumapili wa Usharika wa Mwenge mwalimu Eliajua akiwa amembeba mmojawapo wa watoto waliohudhuria ibada hiyo

Watoto wakiwa kwenye darasa la shule ya jumapili


No comments:

Leave a Reply