Latest News


More

WAMASAI WABATIZWA LEO USHARIKA WA MWENGE

Posted by : Unknown on : Saturday, November 16, 2013 0 comments
Unknown
Wakristo wa kabila la Kimasai leo asubuhi wamebatizwa katika kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (K.K.K.T) Usharika wa Mwenge

Katika ibada hiyo iliyofanyika asubuhi na kuongozwa na mchungaji kiongozi wa Usharika wa Mwenge mchungaji Kaanasia Msangi na kusaidiwa na mwinjilisti wa Usharika huo  mwinjilisti Mwigune.Ibada hiyo ilianza saa 1.00 asubuhi na kumalizika saa 2.15 asubuhi
Pichani juu ni mchungaji Kaanasia Msangi akiwa na wamasai waliobatizwa na baadhi ya washarika waliohudhuria misa hiyo
Katika ibada hiyo jumla ya wakristo wanne walibatizwa ambao ni

1.Ndugu Yona Alaumu
2.Ndugu Yakobo Timotheo
3.Ndugu Thomas Timotheo
4.Na ndugu Lazaro Kitukai

No comments:

Leave a Reply