Ibada hiyo iliyohudhuriwa na ndugu , jamaa na marafiki wa karibu na kuongozwa na mchungaji kiongozi wa Usharika wa Mwenge mchungaji Kaanasia Msangi
Ndugu jamaa na marafiki wakiwa kwenye ibada hiyo ya ndoa
Maharusi wakila kiapo cha ndoa
Bwana na bibi Joseph wakiapa mbele ya madhabahu
Maharusi wakiweka saini kwenye vyeti vyao mbele ya mchungaji Kaanasia Msangi
No comments: