Latest News


More

BWANA JUDIKA KILEO AKUMBUKA MIAKA 25 TANGU KUPATA KIPAIMARA LEO

Posted by : Unknown on : Saturday, December 14, 2013 0 comments
Unknown
Pichani juu ni bwana Judika Kileo (kushoto )akiwa mwenye furaha na mwalimu Kayese (kulia)
Bwana Judika Kileo leo amekumbuka siku ambayo alipata kipaimara miaka 25 iliyopita na kushiriki chakula pamoja na marafiki zake wachache katika kanisa la K.K.K.T Usharika wa Mwenge

Baadhi ya marafiki walioshiriki furaha hiyo na bwana Kileo ni pamoja na bwana Godlisten Lema ambaye ni mzee wa kanisa wa Usharika wa Mwenge

Wengine ni pamoja na mke wake bibi Bertha Kileo,  baadhi ya waimbaji wenzake wa kwaya kuu ya Usharika na  mwalimu mkuu wa  kwaya kuu ya usharika wa Mwenge mwalimu Kayese

 Bwana Judika Kileo akifurahia jambo aliloambiwa na Mzee Lema, kabla ya kuanza kupata chakula cha pamoja
Bibi Bertha Kileo akifurahia chakula na baadhi ya marafiki wa familia.Katikati aliyevaa tishet ni Mzee Godlisten Lema .Bibi Bertha Kileo na Bwana Judika Kileo ni waimbaji wa kwaya katika Usharika wa Mwenge



Bwana Judika na marafiki zake wakiendelea kufurahia chakula .Aliyevaa blauzi ya rangi nyeusi na nyeupe (pundamilia) ni Shelta anayefanya kazi katika ofisi ya Usharika wa Mwenge

No comments:

Leave a Reply