MATUKIO MAKUBWA YALIYOTOKEA USHARIKA WA MWENGE MWAKA 2013
Mchungaji kiongozi wa Usharika wa Mwenge Mchungaji Kaanasia Msangi (pichani juu ) akisoma taarifa kuu ya matukio makubwa yaliyotokea mwaka 29013 katika ibada ya mkesha wa mwaka mpya jana usiku
Katika taarifa yake mchungaji Kaanasia Msangi alisema ;
Jumla ya watoto wadogo waliobatizwa ni 42
Watu wazima waliobatizwa ni 12
Watoto waliobatizwa ni 10
Waliorudi kundini ni 30
Waliopata kipaimara ni 30
Darasa la Nikodemu ni 20
Jumla ya Ndoa 48 zilifungwa
Walioitwa mbinguni ni 8 ( wanaume 7 na mwanamke 1)
Matukio mengine makubwa yaliotokea kwenye Usharika huu ni;
Family day iliyofanyika katika usharika tarehe 26/05/2013 iliyoandaliwa na washarika wenyewe
Harambee ya ujenzi iliyofanyika tarehe 8/8/2013
Ndoa za pamoja zilizofungwa 24/11/2013 ambapo jumla ya shilingi milioni 7 zilichangwa na washarika kufanikisha sherehe hiyo ambayo ilifanyika kwenye viwanja vya kanisa
No comments: