Baada ya Facebook kununua Whatsapp kwa bilioni 19 dola za kimarekani, sasa huduma hiyo itaanzisha huduma ya kupiga simu
Mambo mengine ni rahisi kunena kuliko kuandika.Baada ya Facebook kununua mtandao wa kutuma ujumbe mfupi, Whatsapp kwa bilioni 19 dola za kimarekani, sasa huduma hiyo itaanzisha huduma za kupiga simu baadaye mwaka huu
No comments: