Latest News


More

MGANGA APEWA TENDA YA KUTAFUTA NDEGE ILIYOPOTEA HUKO MALAYSIA

Posted by : Unknown on : Thursday, March 13, 2014 2 comments
Unknown
Saved under :
Katika hali isiyo ya kawaida, mganga mmoja maarufu kwa mambo ya ulozi huko nchini Malaysia amepewa kazi ya kutafuta ndege iliyopotea na ambayo mpaka sasa haijulikani iko wapi
Mganga huyo Bomoh Ibrahim Mat Zin ambaye ni maarufu zaidi nchini huko baada ya kupewa kazi hiyo alienda uwanja mkuu wa Malaysia akiwa na timu yake ya watu takriban watano pamoja na madafu mawili ya nazi

2 comments: for MGANGA APEWA TENDA YA KUTAFUTA NDEGE ILIYOPOTEA HUKO MALAYSIA

  1. Jamani wana wa Mungu alie hai mko wapi?Kawaamsheni hawa ndugu zetu kwani wapo ndani ya giza tororo! wanahitaji huduma ya Yesu Kristo wa Nazareti alie hai,wapendwa tuanguke magotini tumsihi Mungu awaponye na huyo roho mchafu anaewaongoza.

    ReplyDelete
  2. Hakika sisi ambao tupo nuruni ni wajibu wetu kuwaongoza wengine ili waijue kweli ambayo itawaweka huru.

    ReplyDelete