Latest News


More

HAPPY BIRTHDAY EVELYN KICHILA

Posted by : Unknown on : Monday, March 17, 2014 0 comments
Unknown
Saved under :
 Mwishoni mwa wiki iliyopita mtoto Evelyn Kichila (pichani juu)alifanyiwa sherehe ya kumbukumbu ya kuzaliwa (birthday) na wazazi wake ambapo alitimiza miaka mitano
Sherehe hiyo ndogo ilifanyika shuleni kwake Mount Everest ambayo iko maeneo ya Boko na kuhudhuriwa na wanafunzi wenzake pamoja na waalimu wake
Pichani juu Mtoto Evelyn akiwa na wanafunzi wenzake pamoja na zawadi mbalimbali walizopewa kama kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mwanafunzi mwenao
 Mtoto Evelyn akisaidiwa na Baraka (mwanafunzi mwenzake) kukata keki
 Evelyn akipokea zawadi toka kwa waalimu wake (Mwalimu Carol na mwalimu Ritha) kwa niaba ya wazazi wake
 Evelyn akimlisha keki mwalimu wake (mwalim Carol)

No comments:

Leave a Reply