Latest News


More

DVD YA HAMUGEMBE "WEWE NDIWE MUNGU" IKO TAYARI

Posted by : Unknown on : Tuesday, March 18, 2014 0 comments
Unknown
 DVD ya kikundi cha Hamugembe Praise and Worship Team (Bukoba) iko tayari.Kwa mujibu wa mratibu wa kikundi hicho ndugu Mmasi anasema DVD hiyo iko katika kiwango kizuri na ubora wa hali ya juu kama inavyoonekana kwenye picha ya juu na chini
DVD hiyo yenye jina la "Wewew  ndiwe Mungu" ina nyimbo zifuatazo;
1.Chakutumaini sina
2.Muda mwingi nilipotea
3.Usinipite Mwokozi
4.Baba tunakuabudu
5.Yote namtolea Yesu
6. Wewew ndiwe Mungu
Mtandao wa Tumainiletu.com unawatakia kila la kheri na baraka za Mungu katika kuifanya kazi ya bwana
"MUNGU AWABARIKI"

No comments:

Leave a Reply