Mchungaji huyo pichani juu aliambatana na mchungaji Erasto Aira toka makao makuu ya Dayosisi ya mashariki na Pwani .
Ibada hiyo imeongozwa na mchungaji kiongozi wa Usharika huo mchungaji Kaanasia Msangi na mahubiri yaliletwa na mchungaji huyo mgeni toka Ujerumani na kusaidiwa ukalimani na Mchungaji Aira
Pichani juu mchungaji toka Ujerumani akihubiri na mkalimani wake akiwa pembeni
Pichani juu waumini wakiwa kwenye ibada hiyo wakifuatilia mahubiri kwenye ibada ya asubuhi ya leo
No comments: