Jana Jumamosi shule ya Mt Everest iliyoko Boko Dar es salaam iliadhimisha mahafali yake ya nane ya darasa la saba.Katika mahafali hayo ambayo yalihudhuriwa na mamia ya wanafunzi wa shule hiyo pamoja na wazazi, walezi na marafiki wa wahitimu hao, yalianza kwa ibada ambayo iliongozwa na mgeni rasmi ambaye ni padri Henry Rumisho
Pichani juu wahitimu hao wa darasa la saba wakiimba mbele ya mgeni rasmi
Pichani juu Padri Rumisho akiwapa sakramenti baadhi ya wanafunzi wa darasa la saba jana kwenye mahafali hayo
Columnists
Afya Yako
- All post (163)
- Habari za Kidini (361)
- Kutoka Madhabahuni (193)
- Mahubiri (119)
- Maombi (11)
- Ndoa (88)
- Neno la leo (632)
No comments: