Akizungumza kwenye ibada hiyo Usharika wa Mwenge mchungaji kiongozi wa Usharika huo mchungaji Kaanasia Msangi, alisema kabla ya kufanya uchaguzi ni budi kuvunja baraza lililopo hivyo washarika walikaa kama mkutano mkuu na kuwashukuru wazee waliohudumu kwa miaka minne kwenye Usharika huo
Baada ya sala ya kuwashukuru kwa huduma yao hiyo washarika walifanya uchaguzi kwa kufuata jumuiya moja baada ya nyingine kwa kuwasimamisha wale wate waliopendekezwa.
Pichani juu katibu wa baraza la wa zee wa Usharika wa Mwenge Mzee Kombe akimshika mkono mchungaji kwa niaba ya wazee wenzake baada ya kumaliza mda wa kutumika kwa miaka minne
Wazee wa kanisa wanaomaliza muda wao wakiwa mbele ya madhabahu jumapili hiyo
No comments: