Written by Anonymous

HAPPY NEW YEAR 2015

by Anonymous / 06 Jan 2015

...

Written by Anonymous

MERY CHRISTMAS

by Anonymous / 25 Dec 2014

WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRIS...

Written by Anonymous

HAMUGEMBE PRAISE AND WORSHIP TEAM KUZINDUA ALBUM YAO MWEZI APRIL

by Anonymous / 31 Mar 2014

 Kikundi cha Hamugembe Praise and Worship Team cha mjini Bukoba  kinatarajia kuzindua album yao ya nyimbo za kusifu na kuabudu ...

Written by Anonymous

WE WISH YOU A HAPPY NEW YEAR 2014

by Anonymous / 31 Dec 2013

Leo ndio siku ya mwisho kwa mwaka huu 2013 na masaa machache yajayo tutaingia mwaka ujao 2014.Mtandao huu unawatakia kila la kheri na ba...

Written by Anonymous

KWAYA KUU YA USHARIKA WA AZANIA FRONT NDIO MABINGWA WA UIMBAJI WA K.K.K.T – DMP

by Anonymous / 26 Oct 2013

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

Written by Anonymous

MASHINDANO YA UIMBAJI KWAYA KUU NGAZI YA DAYOSISI YA KANISA LA K.K.K.T (DMP) YAFANA USHARIKA WA MBEZI BEACH LEO

by Anonymous / 26 Oct 2013

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

KUTOKA MADHABAHUNI

IBADA KATIKA KANISA LA LIVING WATER CENTER MAKUTI KAWE JUMAPILI HII

Jumapili hii ilifanyoka ibada nzuri katika kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe ambapo kiongozi wa kanisa hilo Mtume Onesmo Ndegi  (pichani juu) aliongoza na kuhubiri Pichani juu Mtume Onesmo Ndegi akimtambulisha ndugu wa m...

More KUTOKA MADHABAHUNI
More NENO LA LEO
More MAHUBIRI
More MAOMBI

HABARI ZA KIDINI

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI MHESHIMIWA MAKONDA AZINDUA VITABU VYA INJILI KANISA LA LIVING WATER CENTER KAWE KAWE

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni mheshimiwa Paul Makonda jumapili hii alikua mgeni rasmi katika uzinduzi wa vitabu vya injili vya mwalimu Lilian Ndegi katika kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe Bwana Makonda (pichani juu) alimsh...

More HABARI ZA KIDINI

More HABARI ZA KIDINI

NDOA MBILI ZA PAMOJA ZAFUNGWA LEO KANISA LA K.K.K.T -USHARIKA WA MWENGE

Posted by : Unknown on : Sunday, December 7, 2014 0 comments
Unknown
Saved under : ,
 Leo katika kanisa la K.K.K.T Usharika wa Mwenge zimefungwa ndoa mbili za pamoja
Katika ibada hiyo ambayo pia ilikua ni ibada ya familia ilishuhudiwa ndoa mbili zikifungwa na baada ya kufungwa washarika wote waliohudhuria ibada hiyo, maharusi pamoja na ndugu , jamaa na marafiki zao walishiriki chakula cha mchana ambacho kiliandaliwa na Usharika huo
Ibada hiyo iliongozwa na mchungaji kiongozi wa Usharika wa Mwenge mchungaji Kaanasia Msangi huku mahubiri yakitolewa na mchungaji Ernest Kadiva toka ofisi kuu ya Dayosisi ya Mashariki na Pwani
Pichani juu kwaya ya Uinjilisti ya Usharika wa Sinza ikihudumu kwenye ibada hiyo
 Maharusi wakipata baraka toka kwa mchungaji Kadiva
Maharusi wakiwa kwenye ibada ya ndoa


Maharusi (chini na juu) wakila viapo mbele ya Usharika

 Maharusi wakila kiapo kanisani hapo
 Baada ya ibada iliandaliwa hafla ya kukata na shoka kanisani hapo ambapo washarika wote , ndugu jamaa na marafiki wa maharusi walihudhuria
Pichani juu ni maharusi wakiwa kwenye hafla hiyo
 Mc akiwapa mkono maharusi kwenye hafla hiyo
 Mchungaji kiongozi wa Usharika wa Mwenge Kaanasia Msangi akiwa na mumewe mzee Msangi kulia.Katikati ni mke wa Mchungaji Kadiva( anayesoma gazeti) pembeni kushoto ni mfanyakazi  toka Dayosisi ambaye jina lake halikufahamika mara moja
 Wageni wakipata vinywaji kwenye sherehe hiyo ambayo ilifanyika kanisani hapo
 Ulifika wakati wa kufungua shampaigne, hakika ilikua ni furaha ilioje
 Maharusi wakiwa kwenye picha ya pamoja na wapambe wao


 Picha ya pamoja kati ya maharusi na waimbaji wa kwaya kuu ya Usharika wa MwengeMaharusi ni waimbaji wa kwaya ya Uinjilisti ya Usharika wa Mwenge
Picha ya pamoja ya maharusi na viongozi wa Usharika wa Mwenge pia viongozi wa dayosisi waliokuwepo kwenye hafla hiyo.Hakika ilipendeza

No comments:

Leave a Reply