Written by Anonymous

HAPPY NEW YEAR 2015

by Anonymous / 06 Jan 2015

...

Written by Anonymous

MERY CHRISTMAS

by Anonymous / 25 Dec 2014

WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRIS...

Written by Anonymous

HAMUGEMBE PRAISE AND WORSHIP TEAM KUZINDUA ALBUM YAO MWEZI APRIL

by Anonymous / 31 Mar 2014

 Kikundi cha Hamugembe Praise and Worship Team cha mjini Bukoba  kinatarajia kuzindua album yao ya nyimbo za kusifu na kuabudu ...

Written by Anonymous

WE WISH YOU A HAPPY NEW YEAR 2014

by Anonymous / 31 Dec 2013

Leo ndio siku ya mwisho kwa mwaka huu 2013 na masaa machache yajayo tutaingia mwaka ujao 2014.Mtandao huu unawatakia kila la kheri na ba...

Written by Anonymous

KWAYA KUU YA USHARIKA WA AZANIA FRONT NDIO MABINGWA WA UIMBAJI WA K.K.K.T – DMP

by Anonymous / 26 Oct 2013

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

Written by Anonymous

MASHINDANO YA UIMBAJI KWAYA KUU NGAZI YA DAYOSISI YA KANISA LA K.K.K.T (DMP) YAFANA USHARIKA WA MBEZI BEACH LEO

by Anonymous / 26 Oct 2013

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

KUTOKA MADHABAHUNI

IBADA KATIKA KANISA LA LIVING WATER CENTER MAKUTI KAWE JUMAPILI HII

Jumapili hii ilifanyoka ibada nzuri katika kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe ambapo kiongozi wa kanisa hilo Mtume Onesmo Ndegi  (pichani juu) aliongoza na kuhubiri Pichani juu Mtume Onesmo Ndegi akimtambulisha ndugu wa m...

More KUTOKA MADHABAHUNI
More NENO LA LEO
More MAHUBIRI
More MAOMBI

HABARI ZA KIDINI

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI MHESHIMIWA MAKONDA AZINDUA VITABU VYA INJILI KANISA LA LIVING WATER CENTER KAWE KAWE

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni mheshimiwa Paul Makonda jumapili hii alikua mgeni rasmi katika uzinduzi wa vitabu vya injili vya mwalimu Lilian Ndegi katika kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe Bwana Makonda (pichani juu) alimsh...

More HABARI ZA KIDINI

More HABARI ZA KIDINI

"Homework' tele ni ugonjwa kwa mwanao"

Posted by : Unknown on : Thursday, March 26, 2015 0 comments
Unknown
Saved under :
Utafiti uliofanywa na chuo kikuu cha Oviedo, nchini Hispania , wamegundua kwamba wanafunzi wanaofanya masomo ya nyumbani ya sayansi na hisabati kwa zaidi ya dakika tisini hadi mia moja ufanisi wao hushuka.

Nao Utafiti uliofanywa hivi karibuni na wanasayansi umegundua kwamba masomo ya nyumbani apewayo mwanafunzi baada ya saa za shule inashauriwa aifanye si zaidi ya dakika sitini sawa na saa moja tu ili aifanye kwa ufanisi mkubwa.

Na endapo itamchukua dakika tisini kuyafanya masomo hayo ya nyumbani matokeo yake hayatakuwa mazuri, utafiti umebaini.utafiti mpya nao umeng’amua kwamba watoto hawapaswi kusaidiwa na walezi ama wazazi wao kufanya masomo hayo ya nyumbani.
Nao wanafunzi mar azote wamekuwa wakilalama kuwa masomo ya nyumbani yakiwa mengi ni mbaya kwao, watafiti baada ya tafiti zao wanakubaliana na malalmiko ya wanafunzi.
Kwa watoto walio katika ukuaji na wanaojisomea kwa juhudi ili kupata matokeo mazuri,waalimu hawapaswi kuandaa kazi ngumu kwa wanafunzi hao,lakini kazi ikiwa katika daraja ya kati humfanya mwanafunzi kuelewa zaidi.

Dr Javier Suarez-Alvarez anasema kwamba utafiti wao umeainisha kwamba hakuna sababu ya mwalimu kumlimbikizia mazoezi mwanafunzi,lakini ni muhimu mazoezi ya nyumbani yawe katika mpangilio ufaao kwa leo la kumfanya mwanafunzi awe na mazoea ya kujifunza hata baada ya masomo ya darasani na hii itamsaidia kupenda,uhuru na tabia ya kujisomea yeye binafsi hata baada ya maisha ya shule .
JE UNATAMBUWA KUWA RUNDO LA KAZI ZA NYUMBANI HUMFANYA MWANAO AJIHISI MGONJWA?

Utafiti wa hivi karibuni,uliofanywa na chuo cha Stanford umegundua kuwa mwanafunzi afanyapo masomo ya nyumbani kwa zaidi ya saa tatu kwa usiku mmoja humfanya mwanafunzi augue.
Utafiti huo uliwahusisha wanafunzi elfu nne na mia tatu kwa wanafunzi kumi bora wa shule za serikali hata za binafsi katika jimbo la Califonia,na kuweka bayana kuwa masomo mengi ya ziada humletea mwanafunzi msongo wa mawazo na kuleta matatizo mengine ya kiafya.
Moja ya matatizo yanayotajwa ni msongo wa mawazo, lakini pia masomo ya nyumbani yakiwa lukuki humletea mwanafunzi vidonda vya tumbo,kukosa usingizi ama kupata usingizi wa mang’amung’amu,kupungua uzito wa mwili ,na kuwa mchovu muda mwingi,huu ni utafiti alioufanya Denise Pope.
(Source:BBC Swahili)

No comments:

Leave a Reply