Written by Anonymous

HAPPY NEW YEAR 2015

by Anonymous / 06 Jan 2015

...

Written by Anonymous

MERY CHRISTMAS

by Anonymous / 25 Dec 2014

WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRIS...

Written by Anonymous

HAMUGEMBE PRAISE AND WORSHIP TEAM KUZINDUA ALBUM YAO MWEZI APRIL

by Anonymous / 31 Mar 2014

 Kikundi cha Hamugembe Praise and Worship Team cha mjini Bukoba  kinatarajia kuzindua album yao ya nyimbo za kusifu na kuabudu ...

Written by Anonymous

WE WISH YOU A HAPPY NEW YEAR 2014

by Anonymous / 31 Dec 2013

Leo ndio siku ya mwisho kwa mwaka huu 2013 na masaa machache yajayo tutaingia mwaka ujao 2014.Mtandao huu unawatakia kila la kheri na ba...

Written by Anonymous

KWAYA KUU YA USHARIKA WA AZANIA FRONT NDIO MABINGWA WA UIMBAJI WA K.K.K.T – DMP

by Anonymous / 26 Oct 2013

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

Written by Anonymous

MASHINDANO YA UIMBAJI KWAYA KUU NGAZI YA DAYOSISI YA KANISA LA K.K.K.T (DMP) YAFANA USHARIKA WA MBEZI BEACH LEO

by Anonymous / 26 Oct 2013

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

KUTOKA MADHABAHUNI

IBADA KATIKA KANISA LA LIVING WATER CENTER MAKUTI KAWE JUMAPILI HII

Jumapili hii ilifanyoka ibada nzuri katika kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe ambapo kiongozi wa kanisa hilo Mtume Onesmo Ndegi  (pichani juu) aliongoza na kuhubiri Pichani juu Mtume Onesmo Ndegi akimtambulisha ndugu wa m...

More KUTOKA MADHABAHUNI
More NENO LA LEO
More MAHUBIRI
More MAOMBI

HABARI ZA KIDINI

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI MHESHIMIWA MAKONDA AZINDUA VITABU VYA INJILI KANISA LA LIVING WATER CENTER KAWE KAWE

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni mheshimiwa Paul Makonda jumapili hii alikua mgeni rasmi katika uzinduzi wa vitabu vya injili vya mwalimu Lilian Ndegi katika kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe Bwana Makonda (pichani juu) alimsh...

More HABARI ZA KIDINI

More HABARI ZA KIDINI

BIBLIA INARUHUSU KUJICHANJA CHALE?

Posted by : Unknown on : Thursday, April 23, 2015 0 comments
Unknown
Saved under :

Jibu la Biblia

Biblia inataja kuhusu kuchanja chale mara moja tu katika kitabu cha Mambo ya Walawi 19:28, ambapo tunasoma hivi: “Msijitie alama ya chanjo.” Mungu aliwapa Waisraeli amri hiyo, na hivyo kuwafanya tofauti na watu waliowazunguka ambao walijitia alama za majina au maumbo ya miungu yao mwilini. (Kumbukumbu la Torati 14:2) Ingawa Sheria ambayo Mungu aliwapa Waisraeli haiwahusu Wakristo, tunapaswa kuzingatia kanuni inayotegemea sheria hiyo.

Je, Mkristo anapaswa kuchanja chale au kuuchora mwili wake?

Maandiko yafuatayo yanaweza kukusaidia ujue jinsi ya kutenda:
  • “Wajipambe kwa mavazi yenye . . . kiasi.”—1 Timotheo 2:9 New World Translation) Kanuni hiyo inawahusu wanaume na wanawake. Tunapaswa kuheshimu hisia za wengine na kuepuka kujifikiria wenyewe.
  • Wengine wanataka watambuliwe na watu au waonekane wako huru, ilhali wengine wanajichanja chale ili waonyeshe kwamba wanajiamini. Hata hivyo, Biblia inawatia moyo Wakristo ‘watoe miili yao kuwa dhabihu iliyo hai, takatifu, yenye kukubalika kwa Mungu, utumishi mtakatifu pamoja na nguvu zao za kufikiri.’ (Waroma 12:1) Tumia ‘nguvu zako za kufikiri’ kuamua ni kwa nini unataka kujichanja chale. Ikiwa unafanya hivyo kwa sababu unataka kufuata mtindo fulani au kuonyesha kwamba wewe ni mshiriki wa kikundi fulani, kumbuka kwamba kujichanja chale kuna madhara ya kudumu. Kuchunguza nia yako kunaweza kukusaidia kufanya uamuzi wa hekima.—Methali 4:7.
  • “Mipango ya mwenye bidii bila shaka huleta faida, lakini kila mtu anayetenda haraka-haraka bila shaka huuelekea uhitaji.” (Methali 21:5) Mara nyingi uamuzi wa kujichanja chale hufanywa bila kufikiria kwa uzito, na unaweza kuathiri uhusiano wako na wengine au kazi. Ni ghali sana kuchanja chale na kuna maumivu mengi sana unapoamua kuziondoa. Utafiti—kutia ndani biashara iliyositawi ya kuondoa watu chale—inaonyesha kwamba idadi kubwa ya watu waliojichanja chale wanajuta ni kwa nini walifanya hivyo.

No comments:

Leave a Reply