Written by Anonymous

HAPPY NEW YEAR 2015

by Anonymous / 06 Jan 2015

...

Written by Anonymous

MERY CHRISTMAS

by Anonymous / 25 Dec 2014

WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRIS...

Written by Anonymous

HAMUGEMBE PRAISE AND WORSHIP TEAM KUZINDUA ALBUM YAO MWEZI APRIL

by Anonymous / 31 Mar 2014

 Kikundi cha Hamugembe Praise and Worship Team cha mjini Bukoba  kinatarajia kuzindua album yao ya nyimbo za kusifu na kuabudu ...

Written by Anonymous

WE WISH YOU A HAPPY NEW YEAR 2014

by Anonymous / 31 Dec 2013

Leo ndio siku ya mwisho kwa mwaka huu 2013 na masaa machache yajayo tutaingia mwaka ujao 2014.Mtandao huu unawatakia kila la kheri na ba...

Written by Anonymous

KWAYA KUU YA USHARIKA WA AZANIA FRONT NDIO MABINGWA WA UIMBAJI WA K.K.K.T – DMP

by Anonymous / 26 Oct 2013

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

Written by Anonymous

MASHINDANO YA UIMBAJI KWAYA KUU NGAZI YA DAYOSISI YA KANISA LA K.K.K.T (DMP) YAFANA USHARIKA WA MBEZI BEACH LEO

by Anonymous / 26 Oct 2013

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

KUTOKA MADHABAHUNI

IBADA KATIKA KANISA LA LIVING WATER CENTER MAKUTI KAWE JUMAPILI HII

Jumapili hii ilifanyoka ibada nzuri katika kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe ambapo kiongozi wa kanisa hilo Mtume Onesmo Ndegi  (pichani juu) aliongoza na kuhubiri Pichani juu Mtume Onesmo Ndegi akimtambulisha ndugu wa m...

More KUTOKA MADHABAHUNI
More NENO LA LEO
More MAHUBIRI
More MAOMBI

HABARI ZA KIDINI

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI MHESHIMIWA MAKONDA AZINDUA VITABU VYA INJILI KANISA LA LIVING WATER CENTER KAWE KAWE

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni mheshimiwa Paul Makonda jumapili hii alikua mgeni rasmi katika uzinduzi wa vitabu vya injili vya mwalimu Lilian Ndegi katika kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe Bwana Makonda (pichani juu) alimsh...

More HABARI ZA KIDINI

More HABARI ZA KIDINI

WAJUA KWA NINI MUNGU ALIKUUMBA?

Posted by : Unknown on : Thursday, April 23, 2015 0 comments
Unknown
Saved under :

Jibu la Biblia

Mapenzi ya Mungu ni kwamba umjue Yeye vizuri, umkaribie, na kisha umpende na kumtumikia kwa moyo wako wote. (Mathayo 22:37, 38; Yakobo 4:8) Unaweza kujifunza jinsi ya kufanya mapenzi ya Mungu kwa kuchunguza maisha na mafundisho ya Yesu. (Yohana 7:16, 17) Yesu hakuongea tu kuhusu mapenzi ya Mungu—aliishi kupatana na mapenzi hayo. Kwa kweli, Yesu alisema kwamba kusudi kuu maishani mwake ni ‘kufanya, si mapenzi yake, bali mapenzi ya aliyemtuma.’—Yohana 6:38.

Je, ninahitaji ishara, maono, au mwito wa pekee ili nijue Mungu aliniumba kwa kusudi gani?

Hapana, kwa sababu Biblia ina ujumbe wa Mungu kwa wanadamu. Ina kila kitu unachohitaji ili ‘uwe na vifaa kamili kwa ajili ya kila kazi njema.’ (2 Timotheo 3:16, 17) Mungu anataka utumie Biblia pamoja na ‘nguvu zako za kufikiri’ ili ujifunze mapenzi yake.—Waroma 12:1, 2; Waefeso 5:17.

Je, kweli ninaweza kufanya mapenzi ya Mungu?

Ndiyo, unaweza, kwa kuwa Biblia inasema hivi: “Amri za Mungu si ngumu sana kwetu.” (1 Yohana 5:3, Easy-to-Read Version) Hilo halimaanishi kwamba ni rahisi kufuata amri za Mungu kila siku. Lakini, faida unazopata ni nyingi sana zinapolinganishwa na jitihada zako. Yesu mwenyewe alisema hivi: “Wenye furaha ni wale wanaolisikia neno la Mungu na kulishika!”—Luka 11:28.


No comments:

Leave a Reply