Latest News


More

Ziara ya TRA katika ward za Hospitali ya Consolata Ikonda

Posted by : Unknown on : Saturday, June 26, 2010 0 comments
Unknown
Saved under :




































Baada ya ziara wageni walikaribishwa chai kama inavyoonekana kwenye picha.Kwa kweli ni wkarimu sana.Big up.......






































Hiki ni chumba kwa ajili y ushauri nasaha.Dawa zinatolewa bure kwa wagongwa wote wenyye upungufu wa kinga mwilini






























Ujumbe huu ulitufurahisha sana




















Chumba cha kufulia nguo za wagonjwa.Kina mashine kubwa 4 za kufulia.































Hospitalini hapo hakuna umeme wa Tanesco.Umeme wanaotumi ni wa solar kama inavyoonekana juu ya paa la mojawapo ya ward































Hiki ni chumba kinachotumika kutengeneza oxygen kwa ajili ya wagonjwa
















Mkuu wa utawala akiwaeleza wageni huduma zinazotolewa hospitalini hapo

No comments:

Leave a Reply