Mojawapo yaw astoo za daw za hospitali hiyo.Kilichotufurahisha zaidi ni kwamba daaw azote muhimu zipo hapo hospitalini.
Mojawapo ya ward za hospitali hiyo.Kilichiotufurahisha ni usafi wa hali ya juu hapo hospitalini.Kila chumba kina vitanda vitatu na kila vyumba viwili kuna choo na bafu.Hakuna mgonjwa kulala chini au kulala wawili wawili.Na cha kufurahisha zaidi kila kitanda kuna gesi ukutani.Hivyo kama mgonjwa anaitaji kuwekewa gesi wanachomeka tu kifa ukutani.Hakun akuweka gesi kwenye mtungi,Mambo ya Ikonda hayo...
Mojawapo ya maabara juu na chini
Mkuu wa Idara ya Maabara kwenye hospitali ya Ikonda akiwaonyesha wageni baadhi ya maabara na kazi zake
Mkuu wa msafara (Mama Mrema) akikabidhi msaada kw afisa utawla.Hii ni misada iliyotolewa na wafanyakazi wa mamlaka ya mapato Idara ya Walipa Kodi wakubwa Dar es salaam
Uongozi wa juu wa hospitali ya Ikonda.Kutoka kushoto mkuu wa utawala padri Sandra, Dr incharge Dr. Manuela na meneja wa fedha ambaye jina lake halikupatikana
Pichani ni Afisa Utawala wa Hospitali hiyo Padri Sandra.Padri sandra alitupa historia ya watoto hao kwa ufupi.Alisema watoto hao walizaliwa wakiwa wameungana. Baada ya kuzaliwa wazazi wao waliwatelekeza hapo hospitalini.Hospitali ilichukua jukumu la kuwalea na kuwatunza kwa kila kitu.Kwa sasa hivi wako darasa la saba.Wanaitaji kutafutiwa shule ya sekondari.Kwa mujibu wa padri huyo hakuna ndugu mwingine aliejitokeza kwa ajili ya kuwatunza kama ndugu au jamaa wa karibu mpaka sasa.Inasemekana baba yake alikuwa ni Myakyusa na mama yake mtu wa Kagera.
Bada ya kutoka kwenye ofisi ya wilaya ugeni huo ulienda katikaHospitali ya Consolata Ikonda.Hospitali hii ndiyo waliipozaliwa Consolata na Maria.Kwenye picha unaweza kuona mandhari ya hospitali hiyo kwa nj
No comments: