Latest News


More

Posted by : Unknown on : Monday, October 18, 2010 0 comments
Unknown
Saved under : ,

Bwana Zahabu (mmojawapo wa watoa mada ) akisisitiza jambo wakati akitoa mada kwenye semina ya walipa kodi wakubwa.Aliyekaa ni Tumaini Kichila akiweka mambo sawa kwenye computer


Ndugu Nzota (Meneja wa Audit) Idara ya walipa kodi wakubwa akitoa mada kwenye semina hiyo
Grace Senge mhasibu mwandamizi wa idara ya walipa kodi wakubwa akijibu maswali yanayohusu ulipaji wa kodi kwa njia ya mtandao.Waliokaa kuanzia kushoto ni Mtaalamu wa mambo ya EFD ndugu Stevin (IT - makao makuu TRA) na mama Mpota mfanyakazi wa Mamlaka ya Mapato Idara ya Walipa Kodi wakubwa







Ndugu Tumaini Kichila (mmojawapo wa watoa mada) akisisitiza jambo kwenye mada inayohusu uwasilishaji wa ritani za VAT kwa njia ya mtanda (efiling)
Samahani wadau jina la mgeni rasmi nilikosea kidogo.Anaitwa Meja Jenerali mstaafu Said Kalembo (na wala si Kailembo) samahani kwa usumbufu

No comments:

Leave a Reply