Latest News


More

Posted by : Unknown on : Monday, October 18, 2010 0 comments
Unknown
Saved under : ,

Meneja wa Tra Mkoa wa Kilimanjaro mama Minga akifunga semina ya walipa kodi wa kati na wakubwa.Mama Minga aliwashukuru wafanyabiashara wote waliohudhuria na kuwataka kufuata yote walioelekezwa kwenye semina. Pia alisisitiza kuwa Kuanzia mwezi wa kumi 2010 wafanyabiashara wote waliosajiliwa kutoza kodi ya ongezeko la thamani watumie machine za EFD kutoa risiti



Mwakilishi wa afanyabiashara akitoa shukrani kwa niaba ya wenzake





Wafanyakazi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakibadilishana mawazo baada ya kumaliza semina. Kutoka kustoto (aliyevaa suti ya blue (mwelimishaji wa kodi mkoa wa Arusha, Dada Miriam (mwelimishaji Idara ya walipa kodi wakubwa), Tumaini Kichila na Mama Mrema naibu kamishna idara ya walipa kodi wakubwa

No comments:

Leave a Reply