Latest News


More

IBADA KANISA K.K.K.T USHARIKA WA MWENGE

Posted by : Unknown on : Tuesday, March 12, 2013 0 comments
Unknown
Kila ifikapo mwanzoni mwa mwezi kanisa la K.K.K.T Usharika wa Mwenge huwa wanakua na ibada ya kusifu na kuabudu.Katika ibada hiyo pamoja na mambo mengine huwa kunakua na shukrani ya kutoa sadaka ya fungu la kumi kwa kila msharika aliyejiandaa
 Picha ya juu inamwonyesha muimbaji nguli katika nyimbo za injili nchini Joshua Mlelwa maarufu kama Brother Joshua akiwa katika ibada ya kusifu na kuabudu katika Usharika wa Mwenge.Nyuma ni baadhi ya waimbaji wa kwaya ya Uinjilisti na akina mama wa Usharika wa Mwenge wakiimba  sambamba na  brother Joshua kanisani hapo
 Baadhi ya washarika wakiwa katika ibada hiyo ya kusifu na kuabudu
 Brother Joshua akiimba kwa hisia kali ibadani hapon.Nyuma ya waimbaji ni Mchungaji kiongozi wa Usharika wa Mwenge mchungaji Kaanasia Msangi pamoja na mwalimu aliyealikwa kutoa neno siku hiyo.

 Picha za juu na chini washarika wakiwa kwenye ibada ya kusifu na kuabudu Usharika wa Mwenge

 Waimbaji wa kwaya kuu ya Usharika wakiimba kwa pamoja kwenye ibada hiyo



 Brother Joshua na mkewe Liliy wakiimba kwa pamoja kwenye ibada hiyo











 Washarika wa Mwenge wakitoa sadaka yao ya mwisho wa mwezi (fungu la kumi)


Washarika wa Mwenge wakiwa kwenye foleni kwenda madhabahuni kutoa sadaka yao ya mwisho wa mwezi.Sadaka hii hutolewa kila mwezi mara moja kwa kila muumini aliyejiandaa kufanya hivyo

No comments:

Leave a Reply