Latest News


More

USHARIKA WA K.K.K.T MWENGE WANZISHA IBADA YA SAA KUMI NA MBILI ASUBUHI

Posted by : Unknown on : Sunday, October 6, 2013 0 comments
Unknown
Saved under :


Kanisa la Kiiinjili la Kilutheri Tanzania (K.K.K.T) I\Usharika wa Mwenge wameanzisha ibada ya alfajiri.Ibada hiyo itakua ikianza kila siku ya jumapil kuanzia saa 12.00 asubuhi na kumalizika saa 1.00 asubuhi
Akihubiri katika ibada hiyo jumapili ya leo Mchungaji kiongozi wa Usharika huo Kaanasia Msangi alisema ibada nyingine zitaendelea kama kawaida ambapo ibada ya pili itaanza saa 1.00 mpaka saa 3.30 na ya tatu itaanza saa 4.00 mpaka saa 6.00 mchana
Pichani juu mchungaji Kaanasia Msangi akihubiri kwenye ibada hiyo leo asubuhi
Pichani chini ni baadhi ya waumini waliosali ibada hiyo leo.
Takribani waumini 80 waliabudu kwenye ibada hiyo ya kwanza leo


Mzee Kihunrwa ambaye ni mzee wa zamu wa Ibada ya kwanza ya saa kumi na mbili akiwa kwenye ibada hiyo.Kulia kwake ni mwinjilisti wa Usharika huo Mwinjilisti Mwigune akifuatilia ibada hiyo leo asubuhi

No comments:

Leave a Reply