Latest News


More

IBADA USHARIKA WA K.K.K.T MWENGE

Posted by : Unknown on : Monday, April 22, 2013 0 comments
Unknown

 Jana ilifanyika ibada katika kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania .Ibada hii ambayo ilifana sana iliongozwa na mchungaji kiongozi wa Usharika huo Mchungaji Kaanasia Msangi
Neno la Mahubiri liliongozwa na MwalimuAisiana Mlay aliyetoka Usharika wa K.K.K.T Matosa ambaye pia ni mzee wa kanisa hilo
 Pichani juu mwalimu Aisiana Mlay akihubiri kanisani hapo ambapo alisisitiza waumini kuwa wanyenyekevu na wenye upendo kwa wengine
Mahubiri yake yalitoka katika kitabu cha Kutoka: 15:1-6


 Pichani juu ni wanakwaya ya kwaya ya Vijana toka Usharika wa Mbezi juu ambao walihudumu katika ibada iyo kama wageni waalikwa.
 Baadhi ya washarika wakifuatilia mahubiri kwenye ibada hiyo.
 Waumini wakifuatilia kwa makini mahubiri kanisani Mwenge
 Baadhi ya wanafunzi wa Sekondari ya Alpha ambao nao huabudu katika Usharika wa Mwenge wakifuatilia mahubiri
 Waumini wakiwa ibadani Mwenge






Mwalimu wa Kwaya wa Usharika wa Mwenge akiongoza nyimbo za sifa kabla ya mahubiri
 Mcghungaji kiongozi mchungaji Kaanasia Msangi akiwa madhabahuni na mwalimu Aisia Mlay wakati wa ibada hiyo


 Wanakwaya wa kwaya Kuu wakiimba kwa hisia wimbo wa kuabudu kabla ya kuanza mahubiri
Baadhi ya waumini wakiwa nje baada ya kumalizika ibada ya jumapili Usharikani Mwenge jana.

No comments:

Leave a Reply