Latest News


More

WAACHENI WATOTO WADOGO WAJE KWANGU

Posted by : Unknown on : Sunday, September 29, 2013 0 comments
Unknown
Saved under :
WAACHENI WATOTO WADOGO WAJE KWANGU
Jumapili hii ya leo ni sikukuu ya watoto (Mikael na watoto) katika makanisa yoto ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (K.K.K.T)
Katika Usharika wa Mwenge ilimefanyika ibada nzuri ambayo iliongozwa na watoto wa Shule ya jumapili (Sunday School)
Katika Ibada hiyo iliongozwa na kichwa kinachosema “Waacheni watoto wadogo waje kwangu”
Pichani juu waimbaji wa kwaya ya shule ya jumapili wakiimba kwenye ibada hiyo

Ibada hiyo iliyoratibiwa na Parish Worker wa Usharika Suzane Mwimbi
Mhubiri alikuwa ni mama mlezi wa Usharika mama Beatrice Lema
Neno la Waraka lilisomwa na Catherine Munuo
Neno kuu lilisomwa na Askari Isaya
Matangazo yalisomwa na Ivin Somi
Liturjia iliongozwa na Eva Raymond na Rollings Nyaki
Watoto waliohudumu kama wazee katika ibada hiyo ni;
Diana Kimaro
Catherine Munuo
Ivin Somi
Editha Mguo
Na Paschal Isaya
Mratibu mzima wa Ibada hiyo aikua Suzane Mwimbi
Katika ibada hiyo kulikua na Maigizo, Ngonjera (iliyohusu maisha ya msamaha), Nyimbo na mistari ya moyo kutoka kwenye biblia
Waalimu wa wanafunzi hao ni;
Suzane Mwimbi ambaye ndiye mratibu mkuu
Mwalimu Fande ambaye ni mwalimu kiongozi
Malimu Eliajua Mziray
Mwalimu Godfrey Mushi
Mwalimu Rozi Matogolo
Mwalimu Daniel Muhoza
Mwalimu Agrey Shoo



Wanakwaya ya kwaya ya watoto wakiwa kwenye ibada hiyo
Waumini mbalimbali wakifuatilia ibada hiyo

 Viongozi walioratibu ibada hiyo wakiwa mbele ya madhabahu




 Watoto wa shule ya jumapili wakisema mistari ya moyo toka kwenye bibilia
 Waumini wakifurahia jinsi watoto walivyoweza kusema mistari ya moyo kwa ustadi mkubwa

 Mchungaji kiongozi wa Usharika wa Mwenge (Mchungaji Kaanasia Msangi) mstari wa mbele akifurahia ustadi wa watoto wa kusema mistari ya moyo

 Katibu wa Usharika (mwenye tai) mzee Kombe akifurahia ustadi wa watoto wa kusema mistari ya moyo
 Mtoto Ivin somi akisoma matangazo




 Mama Beatrice Lema akiongoza neno la Mungu katika ibada hiyo ya watoto


 Watoto wa shule ya jumapili wakiongoza washarika kutoka ibadani

No comments:

Leave a Reply