Kupotea
Tumepotea, je Mungu anafanya nini kuhusu kupotea kwetu? Imeandikwa katika , Isaya 53:6 "Sisi sote kama kondoo tumepotea, kila mmoja amegeukia njia yake mwenyewe na Bwana ameweka juu yake maovu yetu sisi sote."
Hata ingawa tumepotea sisi tu wathamani kuu mbele zake Mungu. Imeandikwa, Luka 15:7 "Nawaambia vivyo hivyo kutakuwa na furaha mbinguni kwa ajili ya mwenye dhambi mmoja atubuye, kuliko walio na haki tisini na kenda ambao hawana haya ya kutubu."
No comments: