Latest News


More

LILIAN REGIS ATUNUKIWA SHAHADA YA MBA CHUO KIKUU CHA MZUMBE

Posted by : Unknown on : Tuesday, December 24, 2013 0 comments
Unknown
Saved under :
Lilian Regis mwishoni mwa wiki iliyopita alikua miongoni mwa wahitimu waliotunukiwa shahada mbalimbali katika chuo kikuu cha Mzumbe Campus ya Dar es salaam

Mahafali hayo yalifanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee na kuhudhuriwa na maelfu ya watu toka jijini Dar es salaam na nje ya jiji la Dar es salaam\
Lilian Regis alihitimu Masters in Business Administration (MBA)

Mtandao huu unampongeza Lilian Regis na wahitimu wote kwa juhudi na maarifa makubwa hata kumaliza masomo yao

No comments:

Leave a Reply