Latest News


More

WAKRISTO WA K.K.K.T USHARIKA WA MWENGE WASHIRIKI CHAKULA CHA BWANA LEO

Posted by : Unknown on : Sunday, March 23, 2014 0 comments
Unknown
Saved under : ,


 Wakristo wa Usharika wa Mwenge jumapili ya leo wameshiriki chakula cha bwana katika ibada zote tatu zilizofanyika leo katika usharika huo
Kawaida huwa ibada ya Chakula cha Bwana hufanyika mara moja kila mwezi.Pichani juu mchungaji Mchomvu na mchungaji Kaanasia Msangi wakiwashirikisha waumini chakula cha bwana

Waumini wakishiriki misa ya chakula cha bwana


No comments:

Leave a Reply