aidi ya wanawake 700 kutoka nchi 77 zinazotumia lugha ya kifaransa, wanakutana kuanzia leo mjini Kinshasa, kujadili mchango wa wanawake katika masuala ya amani, uongozi pamoja na maendeleo.
Kaimu rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati Catherine Samba Panza, ambaye ni mwanamke wa kwanza kuongoza taifa linalotumia lugha ya kifaransa barani Afrika, ni miongoni mwa wanaohudhuria mkutano huo.
Pia yupo waziri wa maswala ya wanawake na watoto nchini Congo, Bibi Genevieve Inagosi Kasongo, ambaye amezungumza na mwandishi wetu, Lubunga By'aombe
Columnists
Afya Yako
- All post (163)
- Habari za Kidini (361)
- Kutoka Madhabahuni (193)
- Mahubiri (119)
- Maombi (11)
- Ndoa (88)
- Neno la leo (632)
No comments: