![Little boy: Khumba's mother, Rayas, is a zebra, and his father, Ignacio, is a dwarf blue-eyed albino donkey. That makes Khumba a zonkey, a rare cross between a zebra and a donkey.](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2014/04/27/article-2614311-1D676E8100000578-202_634x383.jpg)
Ni mnyama ambaye nusu ni punda na nusu ni punda mlia
Ni mnyama aliyetokana na kupandishwa kwa punda na punda mlia.labda tumwite Zonkey (yaani Zebra and donkey)
Huyu amezalishwa kwenye zoo moja inayoitwa Reynosa nchini Mexico April 21 na akapewa jina Khumba.
Ni mnyama aliyetokana na kupandishwa kwa punda na punda mlia.labda tumwite Zonkey (yaani Zebra and donkey)
Huyu amezalishwa kwenye zoo moja inayoitwa Reynosa nchini Mexico April 21 na akapewa jina Khumba.
Mnyama mdogo: Mama yake Khumba, Rayas, ni pundamlia, na baba yake , Ignacio, ni mchanganyiko wa punda albino. Hii inafanya Khumba punda aitwe kwa kiingereza zonkey, ikiwa ni mchanganyiko wa pundamliaa na punda.
![Biological freak! Zonkeys are rare due to a chromosomal incompatibility between donkeys and zebras. A donkey has 62 chromosomes, while a zebra has 32, 44 or 46, depending on the species](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2014/04/27/article-2614311-1D676FC300000578-402_634x441.jpg)
![What a beauty! A zoo is Mexico is now home to an absolutely adorable creature. The animal is referred to as a zonkey, which is a cross between a donkey and a zebra](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2014/04/27/article-2614311-1D660CB700000578-276_634x446.jpg)
Mnyama mzuri sana! Bustani hiy ya wanyama kwa sasa ni kama nyumba ya kiumbe huyo wa aina yake kwani ukimwona huwezi kujua ni pundamlia au punda
![Mother & calf: Khumba the zonkey and her mother, Rayas, at the zoo in Mexico](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2014/04/27/article-0-1D65FB5D00000578-249_634x353.jpg)
Mama na ndama wake: Khumba - zonkey na mama yake Rayas, wakiwa kwenye zo hiyo huko Mexico
![Who's the daddy? Khumba's father Ignacio, a dwarf, blue-eyed albino donkey named Ignacio, lives on a nearby farm](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2014/04/27/article-0-1D65FB6800000578-773_634x350.jpg)
Uhusian huu ulianza kidgo kidogo wakiishi kama marafiki katika bustani hii ya wanyama.
Punda mlia jike kwa jina la , na baba yake ambaye ni kama punda albino mwenye jina Ignacio,walikua wakikutana mara kwa mara mchana na mara Rayas akapata mimba na kumzaa Khumba (ambaye ni nusu punda mlia na nusu punda kama anavyoonekana kwenye picha hapa chini.
No comments: