Latest News


More

UNAMJUA NDEGE AITWAYE BWANA AFYA?

Posted by : Unknown on : Friday, August 2, 2013 0 comments
Unknown
Saved under :
 Huyu ni ndege anayepatikana zaidi ukanda wa Ziwa Victoria katika mikoa ya Mwanza, Mara , Shinyanga na Kagera.

Kwa nini aliitwa jina hilo? Kwa mujibu wa wenyeji wa mkoa wa Mwanza wanasema alimwita jina hilo kwa kua yeye kazi yake ni kula mizoga inayopatikana kwenye majalala na sehemu yenye uchafu hivyo kufanya kazi ya usafi kuwa rahisi kwa wakazi wa sehemu hizo.Ndiyo maana wakampa jina la bwana afya
Pichani juu na chini ni picha ya ndege hao wakiwa kwenye jalala wakitafuta chakula na pia kufanya kazi ya usafi.Huyo ndiye ndege aitwaye bwana afya.


No comments:

Leave a Reply