Latest News


More

MVUA YALETA KIZAA ZAA JIJINI DAR

Posted by : Unknown on : Saturday, April 12, 2014 0 comments
Unknown
Saved under :

Mvua zinazonyesha sehemu mbalimbali nchini Tanzania zimeanza kuleta maafa na majanga sehemu mbalimbali

Katika jiji la Dar sehemu nyingi zimeonekana maji yakiwa yameingia kwenye makazi ya watu na kusababisha watu wengi kukimbia makazi yao kwa muda kuepuka majanga zaidi

sehemu za Tegeta na Boko maji yameonekana yakiwa yamezunguka nyumba za watu na kuleta hofu kubwa kwa wakazi wa maeneo hayo
Mvua hizo zimesababisha adha kubwa ya usafiri katika jiji hili pia.

Baadhi ya madaraja nayo yamekatika hivyo kufanya usafiri kuwa  mgumu zaidi
Kwa mujibu wa watu wa hali ya hewa mvua hizi zitaendelea kunyesha kwa takriban siku mbili au tatu zaidi kuanzia leo hii.

No comments:

Leave a Reply